22 March, 2023
Mkurugenzi Mkuu TASAC Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge akieleza Majukumu na Mafanikio ya TASAC katika Miaka miwili ya Mh. Dkt Samia.
Ndani ya miaka miwili TASAC imeimarisha usimamizi wa ulinzi na usalama wa usafiri majini na kuzuia uchafuzi wa mazingira...