Mkurugenzi Mkuu wa TASAC Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge akiwatunuku vyeti wahitimu wa "Cargo Tallying" kutoka Kenya katika Chuo cha NIT jijini Dar es Salaam, tarehe 6 Aprili, 2023
Muonekano wa meli mbali mbali zikiwa zimetia nanga katika bandari ya Dar es salaam.
Bodi ya Watahini wakimsikiliza Afisa wa Melini wakati wa mtihani wa usaili uliofanyika ofisi za TASAC Dares Salaam.