Karibu
Karibu
Bw. Mohamed Malick Salum
MKURUGENZI MKUU
Ndugu Mteja!
Kwa heshima na taadhima napenda kukukaribisha katika tovuti hii ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).
TASAC imepewa mamlaka na wajibu wa kusimamia uendeshaji wa sekta ya usafiri majini, kuratibu na kuwezesha shughuli za upakiaji na uondoshaji wa shehena Bandarini.
Menejimenti, Watumishi na Wadau wa TASAC tunakuhakikishia kukupa huduma bora, zenye ufanisi, za kuridhisha na kwa wakati.
Karibu!