UDHIBITI UCHUMI
UDHIBITI UCHUMI
Imewekwa: 02 February, 2023
Idara hii inatoa huduma za msingi zifuatazo:
- Kufuatilia utekelezaji wa sheria na masharti ya uchumi kwenye huduma zinazodhibitiwa,
- Kupitia viwango na tozo na kutumia mamlaka ya Sheria kuwezesha upangaji gharama za huduma kwa maslahi ya wateja na watoa huduma zinazodhibitiwa,
- Kutengeneza njia za kubaini vigezo vya utendaji na viwango vya kwa huduma zinazotolewa,
- Kusimamia mchakato wa malalamiko ;
- Kusimamia tafiti na utafutaji taarifa muhimu kwa ajili ya kudhibiti sekta;
- Kutuatilia mienendo ya kiuchumi inayoweza kuathiri sekta inayodhibitiwa.