27 October, 2023
TASAC imekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Uhusiano wa masuala ya Ulinzi wa Usafiri kwa Njia ya Maji wa Uingereza, Bi. Patricia Davis tarehe 19 Oktoba, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Uhusiano wa masuala ya Ulinz...