HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA UWAKALA WA MELI TANZANIA-TASAC
HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA UWAKALA WA MELI TANZANIA-TASAC
23 March, 2023
Pakua
Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania-TASAC wakati wa kumkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe.Halima Habibu Okash kufungua mafunzo ya wadau wa usafiri majini juu ya mpango wa taifa wa maandalizi ya kupambana na umwagikaji wa mafuta baharini. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Green uliopo Chuo cha Uongozi wa Elimu -Bagamoyo ambayo yalianza tarehe 20 hadi 22 Machi, 2023.
12 September, 2023
TASAC yafanya semina ya kutoa elimu kwa kamati ya kudumu ya sheria ndogo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani
16 August, 2023
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TASAC Nahodha. Mussa H. Mandia atakuwepo kwenye Kikao Kazi cha Msajili wa Hazina na Wenyeviti na Watendaji Wakuu wa Taasis za Umma