Wadau mbalimbali kutembelea banda la TASAC katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba
Wadau mbalimbali kutembelea banda la TASAC katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba
Imewekwa: 03 July, 2024
Wadau mbalimbali wa Usafiri kwa Njia ya Maji wameendelea kutembelea banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) leo tarehe 02 Julai, 2024 katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa SabaSaba jijini Dar es Salaam ili uweze kupata Elimu kuhusu majukumu ya TASAC na Sekta ya Usafiri Majini kwa Ujumla.