Timu ya kuvuta Kamba Wanaume na Wanawake ya Wizara ya Uchukuzi zimeibuka kinara katika Mashindano ya Michezo ya Mei Mosi 2024
Timu ya kuvuta Kamba Wanaume na Wanawake ya Wizara ya Uchukuzi zimeibuka kinara katika Mashindano ya Michezo ya Mei Mosi 2024
Imewekwa: 08 May, 2024
Timu ya kuvuta Kamba Wanaume na Wanawake ya Wizara ya Uchukuzi zimeibuka kinara katika Mashindano ya Michezo ya Mei Mosi yaliyohitimishwa tarehe 29 Aprili, 2024 katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Mashindano hayo yaliyohitimishwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda yalianza tarehe 16 Aprili, 2024.