Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

TASAC YASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI, ZANZIBAR

Imewekwa: 23 August, 2024
TASAC YASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI, ZANZIBAR

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) ni moja ya taasisi zinazoshiriki Maonesho yanayoendelea katika Tamasha la Kizimkazi yanayoendelea katika Viwanja vya Kizimkazi Dimbani, Zanzibar

Wadau mbalimbali wanandelea kutembelea banda la TASAC katika maonesho hayo yaliyoanza Agosti 18 yatafika tamati Agosti 25, 2024.

.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo