TASAC YASHIRIKI SHEREHE ZA MAHAFALI YA MAFUNZO YA UTAFUTAJI NA UOKOAJI MAJINI
TASAC YASHIRIKI SHEREHE ZA MAHAFALI YA MAFUNZO YA UTAFUTAJI NA UOKOAJI MAJINI
Imewekwa: 09 September, 2024
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeshiriki katika sherehe za Mahafali ya Mafunzo ya Utafutaji na Uokoaji Majini kwa askari wa Jeshi la Zimamoto nchini.
Jumla ya askari 25 walihitimu mafunzo hayo ya miezi mitatu yaliyoanza mwezi Juni, 2024 na kuhitimishwa mwezi Agosti 2024.
Mafunzo hayo yalifanyika katika Chuo cha Mafunzo cha Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM), Zanzibar.