Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

TASAC yashiriki bonanza la michezo kwa wafanyakazi.

Imewekwa: 02 February, 2023
TASAC yashiriki bonanza la michezo kwa wafanyakazi.

Mkurugenzi wa Huduma za Shirika TASAC, Ndg. Moses Mabamba akitoa kombe kwa washindi mbalimbali katik bonanza la Wafanyakazi lililofanyika katika Viwanja vya TTC Chang'ombe, jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo