TASAC yashiriki bonanza la michezo kwa wafanyakazi
TASAC yashiriki bonanza la michezo kwa wafanyakazi
Imewekwa: 02 February, 2023
TASAC yashiriki bonanza la michezo kwa wafanyakazi wake ikiwa ni mkakati wa kujenga mahusiani mazuri katika maeneo ya kazi na kuimarisha afya za wafanyakazi. Bonanza lilifunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa TASAC ambapo michezo mbalimbali ilichezwa ikiwa ni pamoja na kukimbiza kuku, kukimbia kwenye gunia, kuruka kamba, kukimbia, kuvuta kamba, kukimbia kwenye gonna, kucheza mpira wa miguu na mpira wa pete. Wafanyakazi walishiriki kikamilifu na kuonesha vipaji vyao.