Habari

Imewekwa: 26/01/2022

Mkutano wa kupokea maoni ya taarifa kwa wadau wa Ukusanyaji na Utawanyaji wa Mizigo Bandarini

Mkutano wa kupokea maoni ya taarifa kwa wadau wa Ukusanyaji na Utawanyaji wa Mizigo Bandarini

TASAC katika kikao cha wadau kupokea maoni juu ya taarifa ya Mshauri Mwelekezaji kuhus Taratibu za Utendaji wa Wakusanyaji na Watawanyaji wa wa Mizigo. Kikao hiki kimefanyika katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam.