Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wapatiwa tuzo ya udhamini katika mkutano wa BRELA na wadau wake uliofanyika tarehe 27 Oktoba, 2023 Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wapatiwa tuzo ya udhamini katika mkutano wa BRELA na wadau wake uliofanyika tarehe 27 Oktoba, 2023 Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Imewekwa: 03 November, 2023
Mkurugenzi wa Udhibiti wa Uchumi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Bw. Nahson Sigalla (Kulia) pamoja na Afisa uhusiano kwa Umma Bw. Nicholous Kinyariri (Kushoto) wakipokea tuzo ya udhamini wa mkutano wa BRELA na wadau wake.
Tuzo Hiyo ilitolewa na BRELA na kukabidhiwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Bi. Ashatu Kijaji katika kilele cha Mkutano wa Ufungaji wa Maonesho ya 01 ya Huduma za Brela na wadau wake uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City tarehe 27 Oktoba, 2023 jijini Dar es Salaam.