Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TASAC akiwa katika banda la TASAC katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Mayukufu ya Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TASAC akiwa katika banda la TASAC katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Mayukufu ya Zanzibar.
Imewekwa: 25 January, 2024
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania-TASAC, Kapt. Mussa Mandia, Mkurugenzi Mkuu TASAC, Bw. Mohamed Salum, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bahari Zanzibar- ZMA Bi Sheikha Mohamed pamoja na watumishi wa TASAC, tarehe 10 Januari, 2024 katika banda la TASAC wakati wa ufunguzi rasmi wa Maonesho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.