Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

MWENYEKITI WA BODI LATRA ATEMBELEA BANDA LA TASAC

Imewekwa: 26 November, 2025
MWENYEKITI WA BODI LATRA ATEMBELEA BANDA LA TASAC

Prof. Ahmed Mohamed Ame, Mwenyekiti wa Bodi LATRA ametembelea Banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) lililopo kwenye Maonesho ya Usafiri Endelevu Ardhini.

Dkt. Ame alipewa maelezo kuhusu majukumu ya Shirika na umuhimu wa ushiriki katika maonesho hayo yanayotoa fursa kwa wananchi na wakazi wa Dar es Salaam kujifunza kuhusu Sekta ya Usafiri Majini. 

 Maonesho hayo yenye kauli mbiu Nishati safi na ubunifu katika Usafirishaji yameanza rasmi tarehe 24 Novemba, 2025 na yatahitimishwa tarehe 29 Novemba, 2025.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo