Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

MKURUGENZI MKUU WA TASAC ASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA JIJINI DODOMA

Imewekwa: 25 June, 2024
MKURUGENZI MKUU WA TASAC ASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA JIJINI DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa TASAC Bw. Mohamed Salum, ameshiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika Viwanja vya Chinangali Park, Jijini Dodoma.

Maonesho hayo yameandaliwa kwa lengo la kukutanisha taasisi mbalimbali za Serikali na binafsi, vyama vya ushirika na wadau kwa ujumla ili kuweza kutoa elimu juu ya shughuli mbalimbali wanazozifanya.

Maonesho hayo yenye kauli mbiu: Kuwekeza kwa Utumishi wa Umma Uliojikita kwa Umma wa Afrika Karne ya 21 Iliyojumuishi na Inayostawi; ni Safari ya Mafunzo na Mabadiliko ya Kiteknolojia” yameanza tarehe 16 Juni, 2024 na yanatarajia kuhutimishwa leo tarehe 23 Juni, 2024

Mrejesho, Malalamiko au Wazo