Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

MKURUGENZI MKUU WA TASAC AFANYA ZIARA KATIKA CHUO CHA MABAHARIA VISIWANI ZANZIBAR

Imewekwa: 14 July, 2023
MKURUGENZI MKUU WA TASAC AFANYA ZIARA KATIKA CHUO CHA MABAHARIA VISIWANI ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC, amefanya ziara katika chuo cha Mabaharia DANOUS visiwani Zanzibar ambapo amepata nafasi ya kutembelea madarasa na vifaa mbalimbali vinavotumika chuoni hapo ikiwemo meli ya mfano inayotumika katika kutoa mafunzo kwa vitendo.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi Mkuu TASAC Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge amewahimiza vijana kuchangamkia fursa ya ubaharia kwani imekua na mchango wa maendeleo kwa Taifa hasa katika kukuza uchumi wa buluu. 

Aidha, amewaasa wananchi kufika katika vyuo vinavyotoa mafunzo ya ubaharia ambavyo ni chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) na DANOUS visiwani Zanzibar ili kupata mafunzo zaidi na ya kisasa.

Ziara hiyo ya siku m

Mrejesho, Malalamiko au Wazo