Mheshimiwa Kihenzile ahitimisha Mkutano wa 16 wa wadau wa Sekta ya Uchukuzi.
Mheshimiwa Kihenzile ahitimisha Mkutano wa 16 wa wadau wa Sekta ya Uchukuzi.
Imewekwa: 16 January, 2024
Mkutano wa 16 wa wadau wa Sekta ya Uchukuzi uliofanyika Mkoani Arusha kuanzia tarehe 5-8 Disemba, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa jijini Arusha (AICC) umehitimishwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile.
Mhe. Kihenzileya amewapongeza wadau wote kwa ushiriki wa Mkutano huo na kuwataka kuyafanyia kazi maazimio yote yaliyotolewa.