Habari

Imewekwa: 03/04/2020

UKAGUZI WA VYOMBO VYA USAFIRI MAJINI MKOANI RUKWA

UKAGUZI WA VYOMBO VYA USAFIRI MAJINI MKOANI RUKWA

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi , Mkurugenzi Mkuu, Meneja Usajili wa Meli wakiwa katika bandari ya Kirando ziwa Tanganyika wakimsikiliza kwa makini baharia jinsi anavyozingatia usalama wa vyombo vya usafiri majini na anavyotekeleza kanuni za afya na kunawa mikono kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona.