Mabaharia na wadau mbalimbali wa Sekta ya Usafiri kwa Maji wakifanya usafi katika Mto Mirongo jijini Mwanza
Mabaharia na wadau mbalimbali wa Sekta ya Usafiri kwa Maji wakifanya usafi katika Mto Mirongo jijini Mwanza
Imewekwa: 26 June, 2023
Mabaharia na wadau mbalimbali wa Sekta ya Usafiri kwa njia ya Maji wakifanya usafi wa mazingira katika kuadhimisha Siku ya Mabaharia Duniani katika Mto Mirongo uliopo Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza tarehe 23 Juni, 2023.