Hafla ya kumpongeza Mkurugenzi wa Udhibiti Usafiri Majini (DMTR) Bw. Deogratias Mukasa kwa kustaafu
Hafla ya kumpongeza Mkurugenzi wa Udhibiti Usafiri Majini (DMTR) Bw. Deogratias Mukasa kwa kustaafu
Imewekwa: 08 April, 2024
Watumishi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wakiwa kwenye tafrija fupi waliyoiandaa kumpongeza na kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Udhibiti Usafiri Majini (DMTR) Bw. Deogratias Mukasa ambaye amestaafu.