Habari

Imewekwa: 24/07/2019

SIKU YA BAHARI AFRIKA

SIKU YA BAHARI AFRIKA

Madhimisho ya Siku ya Bahari Afrika kwa mwaka huu yaliyofanyika Chuo cha Bahari Dar es Salaam kuanzia tarehe 24 - 26 Julai 2019. Lengo la mpango huu ni kuhakikisha bahari inawanufaisha wananchi waliyoizunguka kwa kukuza uchumi na kuhakikisha wanaitunza.

Sherehe hizi zimefunguliwa na Mheshimiwa Elias John Kwandikwa, Naibu Waziri wa Ujenzi.