"SIKU YA BAHARI/ZIWA DUNIANI"
Mahali |
MWANZA |
---|---|
Tarehe |
2019-09-23 - 2019-09-26 |
Muda |
03:00 Asubuhi - 11:00 Jioni |
Madhumuni |
"Kumwezesha Mwanamke katika Jamii ya Usafiri Majini" |
Dhima ya Tukio |
"Kumwezesha Mwanamke katika Jamii ya Usafiri Majini" |
Washiriki |
Wadau wa Usafiri Majini na Wananchi Wote |
Ada ya Tukio |
KIINGILIO BURE |
Simu |
+255 787 787 621, +255 717 305 221 |
Barua pepe |
info@tasac.go.tz; nicholouskinyariri2@tasac.go.tz; amina.miruko@tasac.go.tz |