Habari

Imewekwa: 04/09/2021

​TASAC KATIKA MAONESHO YA 16 YA BIASHARA JIJINI MWANZA.

​TASAC KATIKA MAONESHO YA 16 YA BIASHARA JIJINI MWANZA.

TASAC yashiriki maonesho ya 16 ya Kimataifa ya Biashara jijini Mwanza ambapo imepata fursa ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya majukumu na kazi zake. Watendaji wa TASAC walipata fursa ya kuongea na wananchi waliotembelea banda pamoja na kufanya mkutano na waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali juu wa Shirika.