Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja
Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja
Imewekwa: 07 October, 2023
Ndugu mdau wa TASAC, Kheri ya Wiki ya Huduma kwa Mteja. Asante kwa kuendelea kuwa mdau wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania. TASAC inaahidi kuendelea kukupatia huduma bora. Tunafurahi kuwa timu moja nawe.