Habari

Imewekwa: 10/08/2018

African Day of Seas and Ocean 2018 ILO - DSM

African Day of Seas and Ocean 2018 ILO - DSM

Mhe. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi, Usafiri na Mawasiliano akifungua Siku ya Bahari Afrika - 2018, Sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa ILO-Dar es Salaam, Tanzania Julai 25, 2018.


Hata hiyo piawalioshiriki pia ni Capt Bila Leila Ben Hassen, Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa of “African Blue Economy Forum “(ABEF), pamoja na Wizara, Taasisi, Wataalam wa Usafiri wa Majini na Wadau mbalimbali.