Habari

Imewekwa: 06/07/2019

TASAC KATIKA MAONESHO YA SABASABA

TASAC KATIKA MAONESHO YA SABASABA

TASAC imeshiriki kikamilifu katika maonesho ya Sabasaba ambapo imepata fursa ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya majukumu na kazi zake. Kaimu Mkurugenzi alipata fursa ya kuongea na waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali na kwa kina juu wa shirika.