Habari

Picha ya pamoja ya Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Bw. Kaimu Mkeyenge na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa wakitia sahihi makubaliano ya kufanya sensa ya kwanza ya vyombo vya usafiri kwa njia ya maji Tanzania bara.

Imewekwa Jul, 14 2021

Picha ya pamoja ya Menejimenti ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) na Ofisi ya Taifa ya Takwimu baada ya kuingia mkataba wa kufanya sensa ya vyombo vya usafiri kwa njia ya maji Tanzania bara.