Habari

UKAGUZI WA VYOMBO VYA USAFIRI MAJINI MKOANI RUKWA

UKAGUZI WA VYOMBO VYA USAFIRI MAJINI MKOANI RUKWA
Imewekwa Apr, 03 2020

Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya TASAC katika ukaguzi wa vyombo vya usafiri majini mkoani Rukwa. Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi , Mkurugenzi Mkuu, Meneja Usajili wa Meli wakiwa katika bandari ya Kirando ziwa Tanganyika wakimsikiliza kwa makini baharia jinsi anavyozingatia usalama wa usafiri majini na anavyotekeleza kanuni za afya na kunawa mikono kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona.