Habari

Bodi na Menejimenti ya TASAC walipofanya ziara mkoani Tanga. Pichani wanaonekana wakiwa kwenye jiwe la msingi Chongorehani mahali kitakapojengwa kituo cha kupokelea mafuta yatakayosafirishwa na bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi mkoani Tanga.

Imewekwa Jul, 12 2019