Kituo cha Kuratibu Shughuli za Utafutaji na Uokozi Baharini

Kazi za kituo

  1. Utafutaji na Uokozi Baharini.
  2. Upashanaji habari chini ya makubaliano ya Djibouti.
  3. Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Baharini.
  4. Kufuatilia taarifa za meli zenye usajili wa Tanzania (LRIT System)
  5. Kutoa taarifa za hali ya hewa ya baharini kwa watumiaji wa bahari


Mawasiliano ya Kituo cha Kuratibu Shughuli za Utafutaji na Uokozi Baharini (MRCC/ISC) Dar es salaam:

Tel: +255 22 2129325/6/7

Fax: +255 22 2129326

Mob: +255783886295/+255715886295/+255767886295

email: mrccdar@sumatra.go.tz

Satcom tel: +870 7772387847

INMARSAT C ID: 420500028

VHF Channel 16

VHF DSC Channel 16

MF Frequency 2182 KHz

MF DSC 2187.5 KH