Kupata Leseni ya Uondoshaji wa Shehena Bandarini
Ili kuweza kusajiliwa kutoa huduma ya uondoshaji wa shehena bandarini fanya yafuatayo:
- Wasilisha barua ya ufaulu kwa mtihani wa forodha wa TRA.
- Pakua fomu ya usajili wa kutoa huduma ya uondoshaji wa shehena bandarini
- Jaza fomu hiyo kisha wasilisha ofisi za TASAC